# Taarifa ya Jumla: Mistari ya 13-18 inarudia kwa mara ya tatu na kutoa ufafanuzi zaidi jinsi gani Nuhu aliingia katika safina pamoja na familia yake na wanyama. Hili sio tukio. # na maji yakaongezeka Hii ilitokea katika kipindi cha siku arobaini wakati maji yalipokuwa yakija. "na maji yakawa na kina kirefu sana" # na kuinua safina "na ikasababisha safina kuelea" # kuinua juu ya nchi inasababisha safina kuinuka juu ya nchi" au "safina ilielea juu ya maji ya kina kirefu"