# mwinamo "mwelekeo" au "tabia" # mawazo ya mioyo yao Mwandishi anazungumzia juu ya moyo kana kwamba ni sehemu ya mwili unaofikiri. "mawazo yao ya ndani ya siri" # ikamuhuzunisha moyo wake Mwandishi anazungumzia juu ya moyo kana kwamba ni sehemu ya mwili unaoweza kuhisi huzuni. "alikuwa na huzuni sana mno juu ya hili"