# Ikawa kwamba Msemo huu unatumika kuweka alama ya mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi. Kama lugha yakoin njia ya kufanya hivi, basi tumia njia hii. # baada ya muda Maana yake yaweza kuwa 1) "baada ya muda kupita" au 2) "kwa muda sahihi" # mazao ya ardhi Hii inamaanisha chakula kilichotoka kwa mimea aliyoitunza."mazao" au "mavuno" # sehemu zilizonona Hii inamaanisha sehemu zilizonona za kondoo alizoua, ilikuwa ni sehemu bora zaidi ya mnyama. "baadhi ya sehemu zao zilizonona" # akamkubali "alipendezwa naye" au "alifurahishwa naye" # alikasirika sana Baadhi la lugha zina lahaja kwa neno hasira kama "aliwaka" au "hasira yake iliwaka". # ukakunjamana Hii ina maana muonekano wa uso wake ulionyesha ya kuwa alikuwa amekasirika au ana wivu. Baadhi ya lugha zina lugha ambayo inaelezea sura inavyoonekana anapokuwa na hasira.