# Mwanume "binadamu" au "Adamu" # akalala na "akamjua" # nimezaa mwanaume Neno la "mwanamume" linamuelezea binadamu wa kiume, tofauti na mtoto mchanga au kijana. Kama hiyo italeta kuchanganya, inaweza kutafsiriwa kama "kijana wa kiume" au "mvulana" au "mtoto mchanga wa kiume" au " # Kaini Watafsiri wanaweza kuweka taarifa fupi ambayo inasema "Jina la Kaini linafanana na neno la Kiebrania linalmaanisha "zaa". Hawa alimuita Kaini kwa sababu alimzaa. # Kisha akazaa Hatujui ni muda gani ulipita katikati ya kuzaliwa kwa Kaini na Habili. Yawezekana walikuwa mapacha, au Habili alizaliwa baada ya Hawa kupata mimba tena. Kama # alilima Hii ina maana alifanya kila kitu alichopaswa kufanya ili kwamba mimea iweze kuota vizuri.