# Mwanamume Baadhi ya tafsiri husema "Adamu". # akaita mke wake jina Hawa "alimpa mke wake jina la Hawa" au "alimuita mkewe Hawa" # Hawa Neno Hawa linafanana na neno la Kihebrania lenye maana ya "wenye uhai". # wote wenye uhai Neno hapa "wenye uhai" linamaanisha watu. "watu wote" # mavazi ya ngozi "mavazi yanayotengenezwa kwa ngozi ya wanyama"