# mti wa uzima "mti unaowapa watu uzima" # uzima Hapa ina maana "uzima wa milele" au maisha yasiyokuwa na mwisho. # mti wa ujuzi wa mema na mabaya "mti unaowapa watu uwezo wa kuelewa mema na mabaya" au "mti unaowafanya watu wale matunda yake na kuwafanya kuelewa mema na mabaya" # mema na mabaya Huu ni msemo ambao una maana mbili tofauti kabisa na kila kitu katikati. "kila kitu kujumlisha yote mema na mabaya" # katikati ya bustani "katikati ya bustani". Yawezekana miti hii miwili haikuwa katikati ya bustani kabisa. # Mto ukatoka nje ya Edeni kuitia maji bustani Bustani ilikuwa Edeni. Mto uliendelea kutiririka kutoka Edeni. "Mto ukatoka kupitia Edeni na kumwagilia bustani"