# matendo ya mwili Paulo anatumia neno "mwili" kama sitiari au mfano unaowakilishi asili ya mwanadamu."mambo yanayofanywa kama matokeo ya utu wa dhambi ya asili ya mtu" # kurithi Kupokea kile ambacho Mungu amekwisha kuwaahidi waumini kama kurithi mali na utajiri kutoka kwa mwana familia.