# Huru Hapa huru inamaanisha hali ya kutofungwa, kutokuwa mtumwa. # Furahi Changamka, shangilia, kuwa na furaha. # uliye tasa, wewe usiye zaa...... wewe ambaye huna uzoefu wa kuzaa. Neno hili 'wewe' kwa hapa linamrejelea mwanamke tasa na liko katika hali ya umoja.