# ndugu Hapa inamaanisha Wakristo, kwa kujumuisha wanaume na wanawake wote, kwa kuwa waumini wote ndani ya Kristo ni washirika wa familia moja, na Mungu ndiye Baba yao wa mbinguni. # lugha za kibinadamu "kama mtu" au "mambo ambayo watu wengi huyaelewa" # Sasa Paulo anaonesha kuwa amejadili kanuni ya jumla na sasa anatambulisha jambo la kipekee. # kumaanisha wengi "kumaanisha uzao wa mwingi" # kwa kizazi chako Neno "chako" ni umoja, na unarejelea kwa mtu mmoja mahususi, ambaye ni uzao wa Ibrahimu ( na uzao huo unaainishwa kama "Kristo")