# Mwana wa Mungu Hili ni jina la muhimu la Yesu # Siikani neema Paulo anatumia neno hasi katika kutilia mkazo wa ukweli chanya. "ninahakikisha uthamani wa..." # kama haki ingeweza kupatikana kwa.... basi Kristo asingekufa Paulo anaelezea hali ambayo haipo, haitatokea. "lakini kama haki haipo....basi Kristo hakufa" # kama haki ilikuwepo kupitia sheria, basi Kristo angelikuwa amekufa bure "kama mtu angeweza kuwa mwenye haki kwa kushika sheria" # angelikuwa amekufa bure "Kristo angekuwa hajafanya chochote kwa kufa kwake"