# Hawakuchangia chochote kwangu Neno 'kwangu' linawakilisha kile ambacho Paulo alikuwa akifundisha. "halikuongeza chochote kwa kile ninachofundisha" au " hawakuniambia niongeze kitu chochote kwa kile ninachofundisha." # Badala yake "kinyume" # Nimeaminiwa Neno hili laweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Mungu ameniamini mimi."