# Mikoa ya "Sehemu ya ulimwengu inayoitwa..." # Walikuwa wakisikia tu "Bali walikuwa wakijua tu kile wachokisikia kwa wengine kunihusu mimi" # Sikuwa najulikana kwa macho kwa makanisa ya Uyahudi yale yaliyokuwa katika Kristo, "Hakuna mtu yeyote ambaye alishawahi kukutana nami miongoni mwa makanisa ya Uyahudi yaliyokuwa katika Kristo."