# Maisha ya nyuma "Tabia katika kipindi fulani" au " maisha ya kipindi kilichopita" au " maisha ya mwanzo" # NIlikuwa nimeendelea Hii ni sitiari ( lugha ya picha) inayoonesha jinsi Paulo alivyokuwa mbele ya wayahudi wengine wa umri wake katika kusudi lao la kuwa wayahudi kamili. # wale wenye umri kama wangu "Wayahudi wenye umri sawa na wa wangu" # baba "mababu", au "wazazi wa zamani"