# Taarifa kwa ujumla Ezra anamaliza kuorodhesha wanaume ambao walioa wanawake wasio wayahudi # Sheremia jina la mtu. kama lilivyotafsiriwa katika 10:37 # Shalumu jina la mtu. Kama lilivyotafsiriwa katika 2:40 # Amaria Jina la mtu. Kama lilivyotafsiriwa katika 7:1 # Nebo jina la mtu. Kama lilivyotafsiriwa katika 2:27 # Yeieli jina la mtu. Kama lilivyotafsiriwa katika 8:12 # Zabadi jina la mtu. Kama lilivyotafsiriwa katika 10:26 # Ido jina la mtu. Kama lilivyotafsiriwa katika 5:1 # Benaya jina la mtu. Kama lilivyotafsiriwa katika 10L23 # Hawa wote wanaume wote katika orodha kuanzia katika 10:20