# Taarifa kwa ujumla Ezra anaendelea kuorodhesha wanaume ambao walioa wanawake wasio wayahudi # Hashumu jina la mtu. kama ilivyotafsiriwa katika 2L19 # Zabadi jina la mtu. Kama ilivyotafsiriwa katika 10:26 # Elifereti jina la mtu. kama ilivyotafsiriwa katika 8:12 # Manase jina la mtu. kama ilivyotafsiriwa katika 10:30 # Shimei...Benaya majina ya wanaume. Kama ilivyotafsiriwa katika 10:23 # Bani jina la mtu. Kama ilivyotafsiriwa katika 2:7 # Meremothi jina la mtu. Kama ilivyotafsiriwa katika 8:33 # Eliashibu jina la mtu. kama ilivyotafsiriwa katika 10:5