# Taarifa kwa ujumla Ezra anendelea kuorodhesha wanaume ambao wameoa wanawake wasio wayahudi # Pahathi Moabu jina la mtu. Lama ilivyotafsiriwa katika 8:4 # Benaya...Matania Majina ya wanaume. kama ilivyotafsiriwa katika 10:23 # Maaseya jina la mtu. Kama ilvyotafsiriwa katika 10:18 # Mattania jina la mtu. Kama ilivyotafsiriwa katika 10:26 # Binui jina la mtu. kama ilivyotafsiriwa katika 8:33 # Harimu jina la mtu. kama ilivyotafsiriwa katika 2:31 # Eliezeri jina la mtu. Kama ilivyotafsiriwa katika 8:15 # Maluki jina la mtu. Kama ilivyotafsiriwa katika 10:26