# Taarifa kwa ujumla Ezra anaendelea kuorodhesha wanaume ambao walioa wanawake wasio wayahudi # Yozabadi jina la mtu. Kama ilivyotafsiriwa katika 8:33 # Eliashibu jina la mtu. Kama ilivyotafsiriwa katika 10:5 # Shalumu jina la mtu. kama ilivyotafsiriwa katika 2:40 # Paroshi jina la mtu. Kama ilivyotafsiriwa katika 2:3 # Eliazari jina la mtu. Kama ilivyotafsiriwa katika 7:1