# Taarifa kwa ujumla Hii inaendeleza kumbukumbu za mfalme Koreshi kuagiza wayahudi kujenga hekalu la mungu katika Yerusalem, ambayo ilianza katika 6:3. # Tetanai...Shethar Bozenai Dario anaandika mja kwa moja kwa huyu mtu. Tafsiri majina yao kama katika 5:3 # mji ngambo ya mto Hili ni jina la mji ambao ulikuwa magharibi ya mto eflati. Ilikuwa ni kuvuka mto kutoka mji wa Susa.