# Tatenai...Shethar-Bozenai majina ya wanaume # mji ngambo ya mto Hili ni jina la mji ambalo ilikuwa magharibi ya mto efrati. Ilikuwa ni kuvuka mto katika mji wa Susa. Angalia kama ulivyotafsiri katika 4:9