# mwezi wa saba huu ni mwezi wa saba katika kalenda ya kiebrania.Ni kipindi cha mwisho cha kiangazi na mwanzoni mwa nyakati za mvua. Ni kipindi cha mwisho cha mwezi wa tisa na kipindi cha mwanzo wa mwezi wa kumi kwa kalenda ya watu wa magharibi. # kama mtu mmoja mtu mmoja yuko katika sehemu moja na ana kusudi moja. AT: "kwa kusudi moja" # Yeshua Hili ni jina la mtu.Litafsiri kama katika 2:36 # Sheatieli Hili ni jina la mtu. # kuinuka na kujenga Kuinuka juu ni msemo wa kuanza kutenda. AT: "kuanza kutenda na kujenga" # kama ilivyoamliwa katika sheria ya Musa Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. Unatakiwa kufanya kile ambacho Yahwe alikiagiza. AT: "kama vile Yahwe alivyoagiza wao wafanye kama vile sheria ya Musa"