# Taarifa kwa ujumla Hii ni orodha ya watu ambao walirudi Israeli kutoka baadhi ya miji ya Babeli lakini hawakuweza kuthibitisha kizazi chao. # Tel-mela,Tel charsha,Kerubu,Adani,na Imeri ni maeneo katika Babeli ambayo hayapo kwa sasa. # Delaya,Tobia, na Nekoda majina ya wanaume