# Taarifa kwa ujumla Hii sehemu inaendelea kuoorodhesha majina ya Walawi ambao wana wao walirudi kutoka mateka # walikuwa wapatao 392 jumla ya wana Hii ni idadi ya watu wote katika hili kundi ambao walirudi kutoka mateka