# Taarifa kwa ujumla Hii sehemu inaendelea kuoorodhesha majina ya Walawi ambao wanao walirudi kutoka mateka . # Siha,Hasufa,Tabothi,Keros,Siaha,Padoni,Hagaba...Hagaba,Salmai, na Hanani majina ya wanaume # Akubu Tafsiri kama ilivyo katika 2:40