# Taarifa kwa ujumla Hii inaendelea na orodha ya majina ya watu ambao walirudi kutoka mateka pamoja na idadi ya kila kikundi # Bebai.....Azgadi......Adonikamu Haya ni majina ya wanaume # Bigwai jina la mtu tafsiri kama ulivyofanya katika 2:1