# Taarifa kwa ujumla Hii ni mwanzo wa orodha ya majina ya watu waliorudi kutoka mateka # kwenda Hii ni idom ambayo inarejea kutembea kuelekea Yerusalem. AT:"kurudi" au "kurudi tena" # Seraya,Reelaya,Mordekai,Bilshani,Mispari,Bigwai,Rehumu na Baana Haya ni majina ya wanaume