# fungu moja "fungu moja la nchi" # kunyoosha kutoka upande wa mashariki kwenda upande wa magharibi Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 48:1.