# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wana mfalme wa Israeli. # sadaka ya chakula Hii pia inaitwa "sadaka ya unga." # ng'ombe dume saba na kondoo dume saba wasio na dosari ng'ombe dume na kondoo dume ambao wana afya kabisa" # efa "lita ishirini na mbili" # hini "lita ishirini na moja"