# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaedelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli # Hii nchi itakuwa mali ya mwana mfalme katika Isaraeli "Katika nchi, hii itakuwa mali ya mwana mfalme miongoni mwa watu wa Israeli"