# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli. # imewekwa akiba kwa ajili ya mahali patakatifu "ambayo uliyoitoa kwa ajili ya mahali patakatifu." # Urefu utalingana na urefu wa moja ya hayo mafungu Inaonyesha kwamba Ezekieli analinganisha nchi ya mwana mfalme na ukubwa wa nchi iliyotolewa kwa kila makabila. # kutoka magharibi hata mashariki Inaonyesha kwamba hii ilikuwa mipaka ya magharibi na mashariki mwa nchi ya Israeli.