# varanda Tazama tafsiri yake katika 8:6. # mhimili wake "mhimili wa nyumba" # dhraa Tazama tafsiri yake katika 40:5, "refu." # dhiraa mbili kama mita 2.7 # dhiraa kumi na nne kama mita 7.5 # dhiraa tatu kama mita 1:6 # dhiraa ishirini kama mita kumi na saba # dhiraa kumi na moja kama mita sita # nguzo vipande vya mawe ambavyo ni virefu na vyembamba na kusaidia majengo