# karibu na kila lango la ndani "katika kila malango ya ndani" # walipooshea sadaka za kutekezwa Neno "wao" linarejea kwa watu au makuhani waliokuwa wakileta sadaka. # pande zote "pande zote" # sadaka ya kuteketezwa ilipochinjiwa "walijinja sadaka ya kuteketeza" au "waliua wanya ambao wangeteketezwa kama sadaka."