# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe kwa Gogu. # Tazama! "Ona" au "Sikia!" # mkuu wa Mesheki na Tubali Haya maelezo yalitokea mara mbili katika hii mistari.