# Kisha ikatokea hili neno limetumika hapa kuonyesha mwanzao wa sehemu mpya wa hadithi. # katika mwezi wa kumi na mbili ... katika siku ya kwanza ya mwezi Hii ni siku ya kumi na mbili na mwezi wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kwanza i karibu na mwishoni mwa Mwezi wa pili. # ya mwaka wa kumi na mbili "ya mwaka wa kumi na mbili ya uhamisho wa Mfalme wa Yehoyakini" # neno la Yahwe likaja "Yahwe akanena neno lake." # Mwanadamu Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1. # Wewe ni kama mwana simba ... kama dubwana katika bahari "Alifikiri alikuwa kama simba, lakini alikuwa kama jitu la kutisha kabisa. # kama mwana simba miongoni mwa mataifa Misri ilikuwa imara kuliko mataifa mengine, kama simba ambao ni shupavu kuliko wanyama wengine.