# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Tire. # Ataweka Neno "yeye" inamrejea Nebukadneza, mfalme wa Babeli. # vyombo vya kubomolea Tazama tafsiri yake katika 4:1. # vifaa vyake "vifaa vyake vya vita"