# Atakuwa Mara nyingi miji inarejewa kama "yeye." "Tire itakuwa" au "Itakuwa." # sehemu ya kuwekea nyavu kati ya bahari Sehemu ya Tire ilikuwa kisiwa. "kisiwa kisichokuwa na kitu kilitumika kwa ajili kukaushia nyavu za samaki" # hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo Tazama tafsiri yake katika 5:11. # pora vitu ambavyo watu walivyovipoteza # atakuwa mateka kwa mataifa "majeshi kutoka mataifa wataiba kila kitu kutoka Tire." # Binti zake walioko mashambani watachinjwa kwa panga "Adui wa jeshi atawaua mabinti zake ambao wapo katika uwanda." # Binti zake waliopo katika uwanda Wakati mwingine vijiji viliitwa mabinti vya miji iliyotawala juu yao. wasichana wa Tire waliokuwa wakifanya kazi katika mashamba. # watajua yakuwa mimi ni Yahwe Tazama tafsiri yake katika 6:6