# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendela kumweleza Ezekieli hadithi yake kuhusu uznifu wa mke wake Ohola. # nguvu "katika utawala" # watu bora wote wa Ashuru Hii inatambulisha mwenye neno "wao" inarejewa kwa.