# Maelezo ya Jumla: Yahwe ananena na Ezekieli. # mwana wa adamu "mwana wa mwanadamu" # gumia kama kuvunjika kwa viuno vyako Yahwe anamwambia Ezekieli kugugumia kama ishara ya kuusindikiza ujumbe wake. Anamwambia kugugumia kwa kina kana kwamba tumbo lake lilikuwa kwenye maumivu makubwa sana. # Katika uchungu wa gumia "Kwa huzuni kubwa" # mbele ya macho yao Hapa Waisraeli wanarejelewa kwa "macho" yao kusisitiza kile wakionacho. "mbele yao" au "mbele ya watu wa Israeli" # ile habari inayokuja Hii inazungumzia "habari" kana kwamba ilikuwa mtu ambaye alikuwa akija kwao punde. # kwa kila moyo utakaozimia Hii inazungumzia watu kuogopa kana kwamba mioyo yao ilikuwa ikizimia. # utasita "utakuwa dhaifu" # Kila roho itazimia Hii inazungumzia watu kuwa na hofu katika roho zao kana kwamba roho zao zilitaka kuzimia. # kila goti litatiririka kama maji "kila goti litakuwa dhaifu kama maji"