# Neno la Yahwe likanijia "Yahwe akanena neno lake." # wana macho ya kuona lakini hawaoni; na wana masikio ya kusikia lakini hawasikii Haya maneno yote yanatumia pengine macho au masikio kurejea kwa uwezo wa watu kujifunza.