# Maelezo ya Jumla: Ezekieli anaendelea kueleza kuhusu maono. # Mwanadamu "Mwana wa binadamu" Mungu anamuita Ezekieli hivi kusisitiza kwamba Ezekieli ni binadamu tu. Mungu ana uweza na anaishi milele, lakini si watu. # huu mji ni sufuria, na sisi ni nyama Watu wanajizungumzia wenyewe kana kwamba walikuwa wakataji wa nyama wazuri na mji kana kwamba ulikuwa sufuria ambalo lilihifadhi nyama. # sufuria sufuria kwa ajili ya kutunzia nyama au sufuria ya kupikia nyama.