# viumbe hai Tazama ilivyotafsiriwa katika 1:13. # Keberi Kanali Huu ni mto ambao watu katika Kaldayo walichimba kwa ajili ya kumwagilia bustani zao. # alienda mbele "elekea mbele" au "alitazama kuelekea mbele"