# Maelezo ya Jumla: Ezekieli anaendelea kueleza kuhusu maono aliyopewa na Mungu. # akalia katika masikio yangu "nilimsikia akiniita kwa sauti" # walinzi watu ambao hulinda kitu. # silaha ya uharibifu silaha kwa ajili ya kuharibu watu auvitu # silaha ya kuchinja silaha kwa ajili ya kuchinja watu wengi # tazama! Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kinachofuata. # nguo ya kitani imara, nguo laini iliyo tengenezwa kutokana na mmea. ilivaliwa na watu sehemu ambazo ni moto. # kifaa cha uandishi vifaa ambavyo waandishi hutumua kuandikia # shaba chuma kilichopakwa rangi ya dhahabu nyeusi. Imetengezwa na shaba nyekundu sana pamoja kuongezwa chuma kwa uimara.