# Kulingana na yote "Na kisha watu" # tazama Neno "tazama" hapa linaleta umakini wa maelezo yanayo fuata. # kama vile Yahweh alivyokuwa ameamuru. Hivyo ndivyo walivyokuwa wamefanya. Walifanya kama Yahweh alivyo waamuru"