# Na kwenye kile kinara cha taa ... cha dhahabu safi. Kwa 37:20-22 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 25:33 na 25:35 # kulikuwa na vikombe vinne vyenye umbo la maua ya mlozi Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.