# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye. # umnunue tena Wazaliwa wa kwanza na wazaliwa wa kwanza wa punda walikuwa ni wa Yahweh, lakini Yahweh Yahweh hakutaka watolewe dhabihu kwake. Badala yake, Waisraeli walikuwa watoe dhabihu ya kondoo katika nafasi yake. Hii ili waruhusu Waisraeli kununua punda na wanao kutoka kwa Yahweh. # Hakuna ata mmoja atakye kuja kwangu mikono mitupu Mungu anaongelea sadaka kana kwamba mtu alikuwa abebe mikononi mwake.