# mbao mbili za mawe Hizi ni mbao mbili za mawe ambazo Mungu aliandika amri zake. # Na zile mbao zilikuwa kazi ya Mungu nayo maandiko yalikuwa maandiko ya Mungu Hii mistari miwili ina maana moja. Wa pili waeleza jinsi hizi mbao zilikuwa "kazi pekee ya Mungu"