# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa. # Ni hivyo utakavyowatendea Aruni na wanawe kama nilivyo kuagiza "Nimekuamuru kumtendea Aruni na wana wake hivi"