# Maelezo ya Jumla Mungu anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye. # mshipi kipande cha kitambaa watu wanacho vaa kwenye kiuno au kwenye kifua # kofia Kofia hii ni nyembamba, ya urembo ambayo mtu ni kitambaa mtu anacho vaa kichwani juu ya macho. # Nawe mvike huyo nduguye Aruni Aruni alikuwa kaka mkubwa wa Musa.