# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye. # fremu Hii ya husu fremu walizo tengeneza kwa kuunganisha mbao ndogo vya vipande. # dhiraa kumi ... dhiraa moja na nusu "dhiraa 10 ... dhiraa 1.5"