# Sentensi Unganishi Musa anaendelea kuwaambia watu kuhusu chakula Mungu anacho wapa. # lita "lita mbili" # hawakuwa na kilicho salia "hawakukosa chochote" au "walitosheka"