# kumbukeni hii siku, Hii ilikuwa ni namna ya kidesturi ya kumwambia mtu azingatie. # nyumba ya utumwa Musa anazungumzia Misri kama nyumba watu wanapo hifadhia watumwa. # mkono hodari wa Yahweh Hapa neno "mkono" ya husu nguvu. # Hakuna mkate wa hamira waruhusiwa kuliwa Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # mwezi wa Abibu Hili ni jina la mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Abibu ni wakati wa sehemu ya mwisho ya Machi na sehemu ya kwanza ya Aprili kwa kalenda za Magharibi. # nchi inayo tiririka kwa maziwa na asali Tangu maziwa yanatoka kwa ng'ombe na mbuzi, "maziwa" uwakilisha chakula kizalishwacho na mifugo. Kwasababu asali utengenezwa na maua, "asali" uwakilisha chakula cha mazao. # wapaswa kuadhimisha hili tendo la ibada Wakati Waisraeli watakapo ishi Kanani, lazima wa shereheke Pasaka hii siku kila mwaka.